The House of Favourite Newspapers

VIDEO: NEDY Kaweka WAZI Kuhusu OMMY DIMPOZ, “Why Not”


Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nedy Music, ni mmoja kati ya wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampuni ya NYANYA Captures uliofanyika Machi 30, visiwani Zanzibar.

 

Akipiga stori na GLOBAL TV, Nendy amefungukia mikakati yake kimuziki kwa Sasa Mara baada ya kuachiwa wimbo wake mpya wiki moja iliyopita…

Comments are closed.