The House of Favourite Newspapers

Masauni: “Rais Magufuli Anaumia Watu Wanavyokufa, Polisi Chukueni Hatua” – Video

Serikali imewataka Watanzania kutii Sheria za Usalama Barabarani ili kupunguza ajali zinazosababishwa na Watumiaji wa Vyombo vya Moto huku ikiweka wazi kuwa haipendi kuona wananchi wake wanapoteza maisha kutokana na ajali.

 

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa Maandamano ya Amani yenye lengo la kuhamasisha utii wa sheria za usalama barabarani ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Comments are closed.