The House of Favourite Newspapers

VIDEO: SHULE 10 BORA ZA MSINGI KATIKA MATOKEO YA DARASA LA NNE

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk, Charles Msonde jana amesema kati ya watahiniwa 1,302,461 wa darasa la nne waliofanya mtihani huo sawa na asilimia 95.58, waliofaulu kwa kupata daraja A, B, C, na D ni 1,213,132 sawa na asilimia 93.16.

 

Kutizama matokeo ya kidato cha pili >>>>> BONYEZA HAPA

Kutizama matokeo darasa la Nne >>>>> BONYEZA HAPA

 

Amesema wanafunzi 89,093 sawa na asilimia 6.84 wamepata alama za daraja E ambalo ni ufaulu usioridhisha.

“151 walishindwa kufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa na utoro,” amesema.

Comments are closed.