The House of Favourite Newspapers

Video: Tamko la Waziri wa Kilimo Mkenda Juu Ya Ujio Wa Nzige

0


Waziri wa Kilimo, Prf. Adolf Mkenda leo Mei 20, 2021 amesema Tanzania imejipanga kupambana na majanga mbalimbali ikiwemo nzige na wadudu wengine waharibifu kwa lengo la kulinda sekta ya kilimo.

 

Akizungumza na waandishi wa habari waziri Mkenda amesema taarifa zilizoripotiwa hivi karibuni kutoka Tanga si za kweli na kwamba Nzige wamethibitiwa katika maeneo yote yaliyotajwa.

Leave A Reply