The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Tazama Maajabu ya Maji Kupandisha Mlima Eneo la Kijungu- Rungwe

0

Maajabu! Inafahamika kwamba maji hayapandi mlima lakini je, unaweza kuamini kwamba maji eneo la Kijungu, Rungwe mkoani Mbeya maji yanapandisha mlima?

 

Global TV Online, imefunga safari mpaka eneo hilo la kipekee na kuzungumza na chifu wa Wanyakyusa, Lusajo… ambaye anafafanua kwa kina kuhusu eneo hili la ajabu, Kiwira Magereza ambako maji yanapandisha mlima.

Chifu wa Wanyakyusa anaeleza kwa kina kuhusu maajabu haya na jinsi maji yanavyoweza kupanda yakipita chini ya ardhi.

Chifu Lusajo anaeleza kwamba eneo hilo lina vyungu viwili vya maji, ambapo unapotaka kuvuka, lazima uzingatie masharti ya kutanguliza mguu wa kulia au wa kushoto, kutegemeana na mahali unapokwenda.

VIDEO: Tazama Maajabu ya Maji Kupandisha Mlima Eneo la Kijungu- Rungwe

Leave A Reply