The House of Favourite Newspapers

VIDEO: HAJI MANARA, WASANII WAWAITA MASHABIKI TAIFA JUMAPILI


Masikio na macho ya watanzania kwa sasa yameelekezwa Jumapili katika mchezo mkubwa wa timu ya taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) inayotarajia kuumana na timu ya Taifa ya Burundi wakipigania kupata tiketi ya kushiriki kombe la dunia.

Timu ndogo ya hamasa inayoundwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii Steve Nyerere, Monalisa, Ofisa habari wa Simba, Haji Manara, TFF Na wengine wengi wamezungumza na waandishi wa habari na kuwataka watanzania wote kwa ujumla kuungana katika jambo hili la kitaifa ili kuipa nguvu timu yetu iwezei kupata ushindi.

Comments are closed.