The House of Favourite Newspapers

Video: VODACOM Foundation Kuwanufaisha Wanaolitumia Ziwa Victoria

Kampuni ya Vodacom kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation imeanzisha zoezi endelevu la kutoa elimu ya kujikinga na ajali za majini katika Ziwa Victoria  na kutoa vifaa vya uokoaji kwa watumiaji wa vyombo vya maji na wavuvi wanaofanya kazi katika ziwa hilo,

Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Roselyn Mworia, amesema kmapuni hiyo imekuwa ikitoa misaada kwa makundi mbalimbali ya jamii ikiwa ni njia mojawapo ya kuunga mkono serikali  na kuwajali wateja wao kwa kurudisha faida wanayoipata kwa jamiii.

Comments are closed.