The House of Favourite Newspapers

Video: Watatu Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Kigoma

0


Watu watatu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na mahakama kuu kanda ya Kigoma baada ya kutiwa hatiani kutekeleza mauaji ya mlinzi wa kampuni ya kichina iliyokuwa ikijenga barabara ya Kasulu Kidawe.

 

Mauaji hayo yanaelezwa yalifanyika mwaka 2016 kesi namba 36 ya mwaka 2020 iliyowajumuisha washtakiwa wote watatu wajulikanao kwa majina ya Nuru Venevas, Seth Simon na Ezekiel Kalobezi kinyume na kifungu cha 196 na 197 cha sharia ya kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2019.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply