The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Waziri KIGWANGALA, Haji MANARA ‘WATETEMA’ Hadharani


Mwanamuziki kutoka WCB, Rayvanny, amefanya kituko cha aina yake alipokuwa stejini akipafomu wimbo wake mpya wa Tetema, kwa kumnyanyua Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangala, na kumuomba acheze staili ya wimbo huo.

Comments are closed.