The House of Favourite Newspapers

Viongozi wa Kidini na Jamii, Wapewa Semina na TACAIDS

0

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) ikishirikiana na UN WOMEN, imeandaa warsha ya siku mbili,inayoendelea kufanyika katika ukumbi wa chuo cha unesi, Bagamoyo, Mkoani Pwani, kwaajili ya kutoa elimu kwa viongozi wa dini pamoja na wa jamii kwaajili ya kuwaelimisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa watu wanaoishi na maambukizi ya H.I.V na sio kuwatenga.

 

Warsha hiyo itasaidia viongozi hao kutambua umuhimu kwa jamii yao,na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa watu waishio na maambukizi hayo,ili nao wajione kama watu wenye haki zao zinazostahili na sio kutengwa.

Na Imelda Mtema

Leave A Reply