The House of Favourite Newspapers

Viongozi Waongeza Mchanga Kwenye Magunia ya Korosho

VIROBA vya mchanga vilivyowekwa ndani ya magunia ya korosho ili kuongeza uzito tayari kwenda kuuzwa nje ya nchi vyabainika katika ghala moja Mkoani Lindi.

Viroba vya mchanga huo.

Udanganyifu huo unadaiwa kufanywa na viongozi wa Chama cha Msingi cha Pangatena Wilayani Lindi na mkuu wa wilaya hiyo Shaibu Ndemanaga ameagiza wakamatwe.

 

BREAKING: HATIMAYE CHADEMA WARUDI KWENYE UCHAGUZI, WACHUKUA FOMU

Comments are closed.