The House of Favourite Newspapers

Mfumuko wa Bei… Wananchi Wapaza Sauti Mbele Ya Mbunge Shigongo-Video

0

Kufuatia kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali hapa nchini wananchi wa kata ya Bukokwa, Nyehunge na Nyanzenda wa jimbo la Buchosa wamemlilia Mbunge wa jimbo hilo, Eric Shigongo na kumtuma kwa Rais Samia Hassan kusikia kilio chao kwani gharama za maisha zimepanda na kufanya maisha kuwa magumu hivyo ni vyema hali hiyo serikali ikaliangalia kwa karibu ili kurahisisha maisha ya wananchi wa Tanzania.

Leave A Reply