The House of Favourite Newspapers

Vodacom Tanzania Foundation yapeleka programu ya Instant Schools kwa wananchi mikoani

0

 

Balozi wa Vodacom Tanzania Foudation, Joyce  Buzuka   akitoa elimu kwa baadhi ya wafanyabiashara wa mnada wa mifugo wa Ushirika wilaya ya Nzega mkoani Tabora mwishoni mwa wiki kwa Juma  Husseni (kulia) jinsi gani programu ya Vodacom Instant Schools  inawezesha kutafuta, kupata na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.

Balozi wa Vodacom Tanzania Foundation, Laurent Edward (kushoto)  akitoa elimu ya programu ya Vodacom Instant Schools (Soma Kidijitali) kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Puge, Nzega Tabora kupitia mpango huo utamuwezesha mtumiaji  kupata masomo, kutafuta, na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.
Balozi wa Vodacom Tanzania Foundation,  Harrison  Mgutu (kulia) akitoa elimu ya programu ya Vodacom Instant Schools (Soma Kidijitali) kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Puge, Nzega Tabora kupitia mpango huo utamuwezesha mtumiaji  kupata masomo, kutafuta, na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Puge Nzega  Tabora wakisoma vipeperushi vya Vodacom Tanzania Foundation vinavyoelemisha programu ya  Instant Schools mara baada ya kupata mafunzo ya matumizi ya mfumo huo.
Leave A Reply