The House of Favourite Newspapers

Vodacom Yasherehekea Siku ya Wanawake Duniani kwa Kishindo na Akinamama wa Mkoa wa Dodoma

Akina mama wajasiliamali wa Mkoawa Dodoma wakiwa kwenye picha ya pamoja baad ya kushiri kimafunzo ya siku moja yaliyotolewa na Vodacom Tanzania leo  katika maadhimisho ya siku ya wananawake Duniani.

Mkuu wa maduka ya rejarejaya Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akikata keki naKatibuwa Voice of Women Entrepreneurs Tanzania (VOWET) Anna Otieno ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Wananawake Duniani leo mjini Dodoma.

Mkuu wa maduka ya rejareja ya mauzo ya simu Vodacom Tanzania, Brigita Stephen  akizungumza na akina mama wajasiliamali wa mkoa wa Dodoma leo, Wakati wamafunzo hayo.

Mwezeshaji wa masomo ya ujasiliamali Ben Mwambela akitoa mada ya ujasiliamali kwa akinamama wa mkoa wa Dodoma.

Katibu wa Voice of Women Entrepreneurs Tanzania (VOWET) Anna Otieno akitoa elimu ya ujasiliamali kwa akinamama wajasiliamali Mkoawa Dodoma leo.

Baadhi ya Akinamama wajasiliamali  wakishiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wa  ujasiliamali yaliyotolewa na wataalam mbalimbali na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania leo mjini Dodoma ikiwani maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.

Mkuu wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu mjasiliamali Neema Nzuki aliyejiajiri na  kuwaingiza  wateja wapya wa Vodacom Tanzania wa manispaa ya Dodoma, Wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa ujasiliamali mkoani humo leo yaliyoandaliwana Vodacom Tanzania.

Comments are closed.