Vodacom Yatoa Zawadi za Msimu wa Sikukuu kwa Wapendanao Mkoani Mbeya
Washindi wa promosheni ya Vodacom “Show Love, Tule Shangwe” wakiwa na zawadi mara baada ya kukabidhiwa na Meneja mkakati wa Biashara na Masoko Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini, Magreth Lawrence (watatu kulia) kwenye hafla iliyofanyika jijini Mbeya, katikati ni mwendesha promosheni hiyo Masta Shangwe. Msimu huu wa sikukuu Vodacom inatoa zawadi kwa wapendanao ambapo wateja wanaweza kununua bando na kutumia huduma ya M-Pesa kwa kupiga *149*01#
Washindi wakikabidhiwa zawadi zao. Katikati ni Masta Shangwe akisherehesha zoezi hilo.