Vodacom, YST Wasaidia Vumbuzi Mbalimbali Kidigitali kwa Vijana wa Kitanzania
Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Young Scientists Tanzania (YST Awards ceremony 2021) Vodacom Tanzania Foundation ni mdhamini wa tuzo hizo pia ni taasisi inayosaidia vumbuzi mbalimbali zitakazoipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali.