The House of Favourite Newspapers

VIDEO: AL AHLY Watua Bongo Kibabe/Wazima Figisu Kiaina


KIKOSI cha Al Ahly kimetua usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kikiongozwa na wachezaji 20 pamoja na watu wengine 25 katika kuisapoti timu yao kwenye mchezo wao wa pili dhidi ya Simba utakaopigwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaa.

Al Ahly inakutana na Simba ikiwa ni ugenini ilishakutana nae nyumbani na kuwafunga mabao 5-0 .

Comments are closed.