The House of Favourite Newspapers

WABUNGE Wanawake Wakikata NYONGA za Kufa Mtu! – Video

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameandaa hafla maalum ya kuhamasisha wananchi kuhusiana na umuhimu wa kuchangia pesa kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

Comments are closed.