The House of Favourite Newspapers

Wabunge Wapitisha Michango Kumpa Profesa Jay, Laki 2 – Video

0

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewaomba wabunge kumchangia laki mbili kwa aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Hip Hop, Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay laki moja kwa matumizi yake binafsi na laki nyingine kusaidia Taasisi yake aliyoianzisha.

Leave A Reply