The House of Favourite Newspapers

Wachezaji wa Yanga Waondoka kwa Mkapa – Video

0

Wachezaji wa Klabu ya Yanga na Benchi la Ufundi wameondoka katika uwanja wa Mkapa baada ya kusubiri kwa dakika 15. Mchezo huo kati ya Yanga na Simba ambao awali ulipangwa kuanza saa 11 jioni umesogezwa hadi saa 1 usiku. Pia mashabiki wa Yanga wameanza kutoka uwanjani.

Aidha, Wachezaji wa Klabu ya Simba wao ndio wameingia uwanjani kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Yanga uliopangwa kuanza saa 1 Usiku.

 

 

Leave A Reply