The House of Favourite Newspapers

Wafanyabiasha Afrika Mashariki Kukuza Biashara

0

1       Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa Dkt. Suzan Kolimba akihojiwa na wanahabari.

2…Akiwa na washiriki wengine wa mkutano.

3.Mwakilishi wa Uganda,  Naibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EABC), Dkt. Kasim Omar ,akiwasilisha hoja zake.

7Baadhi ya wanajumuiya hiyo wakifuatilia mkutano huo.

6

5.

4.

WAFANYABIASHARA wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana na kuzungumzia namna ya kukuza biashara na kutatua changamoto zinazoikabili jumuiya hiyo.

Mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa Dkt. Suzan Kolimba.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply