The House of Favourite Newspapers

Wahamiaji Mikononi mwa Kamanda Muroto, Watapata Tabu Sana! – Video

Jeshi la polis mkoani Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila vibali.

 

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Gilles Muroto Wahamiaji hao walikamatwa katika kijiji cha buigiri wilayani chamwino mkoani Dodoma wakiwa na raia watanzania ALLY RAMADHANI Mkazi wa Majengo, Arusha akiwasafirisha wahamiaji hao haramu Raia wa Ethiopia kutoka Arusha kupitia wilayani Kiteto kwa kuwapakia katika mabasi yanayofanya safari za vijijini na kuwashusha Buigili kwa ajili ya kubadilisha usafiri.

 

Aidha kamanda Muroto amesema watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika ili waweze kushuguliwa kwa mujibu wa sheria.

 

SHUHUDIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.