The House of Favourite Newspapers

LIVE SPOTI HAUSI: MZEE AKILIMALI AMTAJA MMILIKI WA YANGA


Kipindi cha Spoti Hausi kipo hewani na Mzee Akilimali ambaye amekuwa maarufu sana kwenye soka la Tanzania kwa sasa. Mzee Akilimali anazugumza mambo mengi sana, akizungumzia pia uwezo wa Obrey Chirwa ambaye ameondoka kwenye timu hiyo na shida wanayoipata Yanga kwa sasa kutokana na ukata wa fedha

Comments are closed.