The House of Favourite Newspapers

WAITARA: Wakala wa CHADEMA Amekutwa na BASTOLA – Video

Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara, amesema kuna Wakala mmoja wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekutwa akiwa na silaha aina ya Bastola katika chumba cha kupigia kura huko Ukonga.

 

Waitara ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari ambapo amewataka wananchi wa Ukonga kupiga kura kwa amani kwani vyombo vya Ulinzi na Usalama Vipo na vinafanya kazi yake kwa weledi mkubwa.

 

Comments are closed.