The House of Favourite Newspapers

Wakazi wa Kimara Wafurahia Tamasha La Mziki Mnene Chini ya Vodacom Tanzania

 kimara_06

Msanii wa Singeli Victor Laina akifanya vitu vyake kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

kimara_08

Mashabiki wa muziki wa Singeli wakiweweseka  kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaammwishoni mwa wiki.

kimara_09

kimara_07
Wasanii wa Sigeli wakishambulia jukwaa kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

kimara_010

Wakazi wa Kimara wakifurika kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

kimara_011
Wapenzi wakimbeba msanii wa muziki wa Singeli, Beka Kanali kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Comments are closed.