The House of Favourite Newspapers

Wakazi wa Tabata Bima, Dar wasogezewa karibu huduma za Vodacom

0

001.TABATAMkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama (katikati) akikata utepe kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililoko Tabata Bima  jijini Dar es Salaam jana.Wengine ni Meneja wa duka hilo,Emmanuel Mekaki (kushoto) na Brigita Stephen ambaye ni Mkuu wa maduka ya Rejareja wa kampuni hiyo.

002.TABATAMkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama (kushoto) akizungumza na wateja wakati wa Uzinduzi wa  duka jipya la kampuni hiyo lililoko Tabata Bima  jijini Dar es Salaam jana.

003.TABATAMkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama (kulia) akikata keki kuashiria Uzinduzi wa duka jipya la kampuni hiyo lililoko Tabata Bima  jijini Dar es Salaam jana.Wanaoshuhudia ni  Meneja wa duka hilo,Emmanuel Mekaki (katikati) na Brigita Stephen ambaye ni Mkuu wa maduka ya Rejareja wa kampuni hiyo.

004.TABATAMkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama( wa pili kulia) akimlisha keki mteja wa kwanza katika duka jipya la kampuni hiyo lililoko Tabata Bima jijini Dar es Salaam jana, Fligona  Maswi (kulia) Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Mauzo ya Simu wa kampuni hiyo,Samson Mwangela (katikati), Meneja wa duka hilo,Emmanuel Mekaki (wa pili kushoto) na Brigita Stephen ambaye ni Mkuu wa maduka ya Rejareja wa kampuni hiyo.

005.TABATAMkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama (kulia)  na Mkuu wa Mauzo ya Simu wa kampuni hiyo, Samson Mwangela (wa pili kulia), wakifungua mvinyo kuashiria ufunguzi wa  duka jipya la kampuni hiyo lililoko Tabata Bima  jijini Dar es Salaam jana.Wanaoshuhudia ni Meneja wa duka hilo, Emmanuel Mekaki (wa pili kushoto) na Brigita Stephen ambaye ni Mkuu wa maduka ya Rejareja wa kampuni hiyo ya simu ya mkononi ya Vodacom Tanzania.

Leave A Reply