The House of Favourite Newspapers

Tshabalala Alichofanyiwa na Wachezaji Wenzake Noma Sana – Picha

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ leo ameonja joto ya jiwe mbele ya wachezaji wake kwa kumpaka matope mwili mzima.

Tukio hilo limetokea leo kwenye mazoezi ikiwa ni kumbukizi ya miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake wakiwa mazoezini viwanja vya Gymkyana.

 

Comments are closed.