The House of Favourite Newspapers

Walimu Wanaodaiwa Kumuua Mwanafunzi kwa Bakora Hawa Hapa

WALIMU wawili wa Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba  wamefikishwa Mahakamani leo asubuhi Septemba 3, 2018   wakikabiliwea na kesi ya mauaji ya Mwanafunzi Sperius Eradius (13) wa darasa la 5.
Walimu hao waliofikishwa mahakama ya wilaya ya Bukoba kusomewa mashtaka yanayowakabili  ni Respicius Patrick Mtazangira aliyetoa adhabu ya vibobo na Herieth Gerald aliyedai kupotelewa na mkoba Elieth Gerald.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba  17, 2018  na watuhumiwa wote  wamerudishwa rumande.

Comments are closed.