The House of Favourite Newspapers

Samaki Wawekewa Macho Bandia Kuonyesha Wako ‘Fresh’

img_20180903_095356_609-jpg.855388

Jicho la bandia likiwa limewekwa kwenye samaki.

DUKA moja la samaki nchini Kuwait limeguduliwa kuwawekea samaki macho ya bandia, yaliyotengeezwa kwa plastiki, ili waonekane kwa wateja kwamba bado ni wabichi “freshi”.

img_20180903_095339_044-jpg.855389
‘Jicho’ likiwa limetolewa.

Picha  ya samaki mmoja iliyowekwa kwenye mtandao wa Twitter na gazeti la Al Bayan Jumamosi iliyopita,  liliwaacha watu na mshangao mkubwa kuhusu ubunifu huo wa mwenye duka hilo.

Comments are closed.