The House of Favourite Newspapers

Video: Waliofukiwa na Kifusi Mgodini Geita Waokolewa Wote


 geita-1 geita-2

Waliofukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata ya Nyarugusu mkoani Geita wakiwa wanaokolewa.

geita-3 geita-4

geita-1 geita-1 geita-2 geita-3

WATU 15 waliofukiwa kwa kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata ya Nyarugusu mkoani Geita, wameokolewa wote wakiwa hai kutokana na  jitihada zilizofanywa na wataalamu wa mgodi huo na mingine kwa kushirikiana na serikali.

 Habari zilizotufikia punde ni kwamba watu hao wameokolewa baada ya kukaa takribani siku tatu ndani ya mgodi bila kupata chakula na bila kuona mwanga wa jua.

Aidha, taarifa za awali zinasema kuwa baada ya kuokolewa watu hao  wamewekwa chini ya uangalizi wa karibu na wataalamu wanaendelea na uchunguzi huo ambapo baada ya muda itatolewa ripoti kamili.

Salum Milongo/GPL

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Save

Save

Save

Save

Comments are closed.