The House of Favourite Newspapers

WAMAREKANI WATEMBELEA STUDIO ZA GLOBAL TV – PICHAZ

 

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akiwakaribisha ofisini kwake, wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Case Western Reserve University cha Marekani walipotembelea Studio za Global TV Online zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam. 
Jengo la Ofisi za Global Group.

 

Wanafunzi hao wakiwa kwenye kikao kifupi na viongozi wa Global Publishers na Global TV Online.

 

Abdallah Mrisho akibadilishana mawazo na mhamasishaji, Benjamin Fernandes.

 

Abdallah Mrisho akizungumza na wanafunzi hao.

 

Wakijiselfisha na Mhariri Mtendaji wa Global, Saleh Ally.

 

Abdallah Mrisho na Fernandes wakijadiliana.

 

Wakiwa Studio za Global TV Online na wafanyakazi wengine wa Global Publishers na Global TV.

 

Wakiwa ndani ya Studio za Global TV Online.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.