The House of Favourite Newspapers

Wanafunzi Wenye Vipaji Mbalimbali Kutoka Kenya Waibukia Global

0

  

Wanafunzi wenye vipaji mbalimbali kutoka nchini Kenya, leo wametembelea ofisi za uchapishaji magazeti za Global Publishers Ltd,Bamaga jijini Dar es Salaam.

Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Saleh Ally akizungumza na wanafunzi hao pamoja na baadhi ya viongozi wao.

Wanafunzi hao wameongozwa na Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Africa Nasaha Production ya nchini Kenya, Oscar Njeruna kufanikiwa kujifunza mambo mbalimbali ya uandaaji wa Magazeti ya Championi, Ijumaa na mengineyo yanayochapishwa na Global Publishers Ltd.

Lakini pia wamejifunza namna kazi ya utafutaji habari, zinavyopandishwa mitandaoni na pia kazi zinazofanywa na Global TV Online ambayo inayofanya vizuri zaidi hivi sasa hapa nchini.

Leave A Reply