The House of Favourite Newspapers

Wananchi Wachoma Gari ya Halmashauri na Pikipiki

0

Wananchi wa kijiji cha Melela mkoani Morogoro wavamia Maafisa Ardhi na viongozi wa vitongoji na vijiji na kuchoma moto gari ya halmashauri, pikipiki, Kompyuta, kifaa cha upimaji na nyaraka nyingine za serikali, wakizuia upimaji.

Leave A Reply