The House of Favourite Newspapers

Rihana Kuhusu Ujauzito: Kila Mwaka Mnanizalilisha

0

KUFUATIA kuzuka kwa tetesi katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari nchini Marekani kuwa msanii maarufu nchini humo, Rihanna na mpenzi wake Asap Rocky wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza, msanii huyo ameamua kuvunja ukimya na kusema anadhalilishwa kwani hana ujauzito.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rihanna amejibu…. “Hamkuja kwenye baby showers 10 za mwanzoni!! Kila mwaka mnanizalisha!!”

 

Leave A Reply