The House of Favourite Newspapers

Washindi droo ya tatu ‘Shinda Nyumba’ wakabidhiwa zawadi

0

     1Mshereheshaji wa hafla hiyo, Chaku Shemungia (kushoto) akimhoji, Charles Chawala, baada ya kukabidhiwa simu ya kisasa (smart phone) aliyojishindia kwenye mchezo huo.

2Happyness Kimaro akimchukulia zawadi ya seti ya vyombo vya chakula (dinner set) Asha Mussa aliyemtuma baada ya kutingwa na majukumu.

3Isaac Wilyadi akipokea zawadi ya king’amuzi cha TING.

4Magreth Chacha alishinda na kupewa king’amuzi cha TING.

5Pendo Mkanda akipokea king’amuzi cha TING.

6Zalika Ally wa Lushoto mkoani Tanga akipokea televisheni-bapa  na king’amuzi cha TING kutoka kwa Mhariri wa Championi Jumamosi, Elius Kambili.

7Washindi wakiwa kwenye picha ya pamoja.

WASHINDI wa droo ya tatu ya bahati nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na kampuni ya Global Publishers watoaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Amani, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi, leo wamekabidhiwa zawadi zao kwenye hafla iliyofanyika ofisi hizo zilizopo Bamaga- Mwenge jijini Dar.  Droo hiyo ilichezeshwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese jijini.

HABARI/PICHA  NA RICHARD BUKOS / GPL  

Leave A Reply