The House of Favourite Newspapers

Paka amkwaruza Miley Cyrus, amuachia majeraha

0

screen-shot-2016-04-04-at-122117-pm__oPt
Sehemu ya paji la uso aliyojeruhiwa na Paka huyo.

Los angeles, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, wiki hii alimuanzia vibaya kufuatia kupata majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya kukwaluzwa na paka wake.
Cyrus ambaye alionekana kukasirishwa na paka wake huyo, alituma picha mbalimbali kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram zikionyesha majeraha kwenye mwili wake ambapo ilidai kuwa alijeruhiwa na paka huyo.
Miley-Cyrus-gets-clawed-by-a-cat

……Jeraha la mkononi.

Sehemu ambazo zilionekana kuumia zaidi huku damu zikionekana kumtoka ni usoni na mkononi. Hata hivyo followers wake walimpa pole kutokana na tukio hilo.

Leave A Reply