TUZO ZA AMVCA: KENYA WASHINDA 6, BONGO HOLA!
Miongoni mwa waigizaji maarufu walioshinda.
TUZO za filamu za Afrika Magic Viewers Choice Awards (AMVCA) zinazotolewa na Multichoice zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Eko jijini Lagos, Nigeria, ambapo Tanzania haikuambulia chochote.
Tuzo hizi hufanyika kila mwaka kwa ajili ya kutambua jitihada kubwa za watengenezaji filamu, waigizaji na mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika sekta hiyo.
Omotola wa Nigeria.
Wakenya wameshika nafasi ya pili kwa kutoa watu sita miongoni mwa nane walizokuwa wakiwania na kuwapiga kikumbo Watanzania kwa upande wa Afrika Mashariki kwa kuwa walitoka hola, yaani hawakuambulia chochote.
Tanzania ilikuwa ikiwania tuzo mbili kupitia Amil Shivji na Lester Millardo ambao hawakufanikiwa.
Nigeria, kama ilivyo kawaida, ndiyo walitawala huku mwanamama, Omotola Jalade-Ekeinde akiibuka na tuzo ya Mwigizaji Bora wa Drama.
ORODHA KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA AMVCA NI:
Best Soundtrack Movies/TV Series
Tatu – Evelle WINNER
Best Supporting Actor
Falz – New Money WINNER
Best Supporting Actress
Lydia Forson – Isoken WINNER
Best Lighting Designer
Tatu – Akpe Ododoru and Tunde Akinniyi WINNER
Best Costume
Penance – Michael Akinrogunde WINNER
Best Documentary
The Flesh Business – Denis Wanjohi Maina WINNER
Best Make-Up Artist
Tatu – Hakeem Effect Onilogbo and Thelma Ozy Smith WINNER
Best Art Director
Lotanna – Tunji Afolayan WINNER
Best Indigenous Language – Swahili
Sarika Hemi Lakhani – Supa Modo WINNER
Best Indigenous Language – Hausa
Mansoor – Ali Nuhu WINNER
Best Indigenous Language – Yoruba
Etiko Onigrdu – Femi Adebayo WINNER
Best Indigenous Language – Igbo
Bound – Lilian Afegbai WINNER
Trail Blazer
Bisola Aiyeola WINNER
Industry Merit Award
Tunde Kilani WINNER
Best Writer
Alter Ego – Patrick Nnamani, Koye O and Moses Inwang WINNER
Best Actress in a Drama/TV Series
Omotola Jalade Ekeinde – Alter Ego WINNER
Best Actor in a Drama Series
Adjetey Anang – Keteke WINNER
Adjetey Anang – Sidechic Gang
Best Movie West Africa
Isoken – Jade Osiberu WINNER
Best Movie East Africa
18 Hours – Phoebe Ruguru WINNER
Best Movie Southern Africa
Descent – Awal Abdulfatai
The Road to Sunrise – Shemu Joyah WINNER
Best Director
Jade Osiberu – Isoken WINNER
Best Overall Movie
18 Hours – Phoebe Ruguru WINNER
Best TV series
Professor Johnbull – Tchidi Chikere WINNER
Comments are closed.