Washindi Wa Tuzo za BET 2019, Cardi B Kama Kawa
Jumapili Juni 23, 2019 BET walifanya tuzo zao za mwaka huu zinazojikita katika tasnia za muziki, burudani michezo, na nyingine wakati vigezo mbalimali vikizingatiwa wakatai wa kugawa tuzo hizo.
Utoaji wa Tuzo hizo hazikuwa za kitoto, ilikuwa ni full kufunikana kila kona kiasi kwamba wadau wengi wa muziki duniani wamezipongeza kwa kuwa tuzo za aina yake.
Hapa nimekuletea washindi wa tuzo hizo kwa mwaka huu.
Comments are closed.