The House of Favourite Newspapers

Wasomaji Jet Lumo na Machimbo Walikubali Betika

0
Msomaji wa Gazeti la Betika ambalo hutolewa bure kila siku za jumatano ambaye ni mkazi wa maeneo ya Lumo jijini Dar es Salaam akilisoma.

 

Ikiwa ni Jumatano ya Aprili 22, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imeendelea na kulisambaza gazeti la Betika ambalo ni mahususi kwa masuala ya kubeti ambapo leo wasomaji wa maeneo ya Lumo, Machimbo na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam wamejipatia gazeti hilo.

Betika hutolewa bure kwa watu wenye umri kuanzia miaka 18, linachapishwa na Kampuni ya Global Publishers na huingia mtaani kila siku za  Jumatano.

Msomaji wa Gazeti la Betika wa eneo la Lumo jijini Dar akilisoma gazeti hilo.

 

Gazeti hilo lenye kurasa 20 za rangi linalojihusisha na masuala ya betting na lotto, lina takwimu za ligi tofauti na matangazo mbalimbali ya biashara.

 

Baadhi ya wasomaji waliokutana na timu ya maofisa masoko ya Global Publishers, wa maeneo ya Rumo, Machimbo wamezidi kulisifia gazeti hilo kwa kuwa mkombozi waokutokana na  kurahisisha kwenye masuala ya michezo ya kubeti.

Msambazaji wa magaeti ya Global Publishers (kulia) akiwagawia magazeti ya Betika ambayo hutolewa bure kila siku za Jumatano.
Msambazaji wa magaeti ya Global Publishers (kushoto) akiendelea kuwagawia magazeti ya Betika ambayo hutolewa bure kila siku za Jumatano.

Gazeti hilo heshima yake imeendelea kukua siku hadi siku na sasa lina watangazaji wengi ambao wanatangaza biashara zao kupitia Betika kwa bei nafuu.

 

Wote wanaofanya kazi na Betika wanapata ofa ya kutangaziwa biashara zao kwenye mitandao ya kijamii ya Kampuni ya Global Publishers katika Instagram, Facebook, Twitter na Global TV Online.
Ili kuweza kufahamu namna ya kutangaza biashara zako unaweza kufika katika ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori ama kutembelea mitandao yetu ya kijamii ya Global Publishers.

Leave A Reply