The House of Favourite Newspapers

Watabiri 650 ‘Wamebugi’ Matokeo Mechi ya Simba na Yanga

simba-na-yanga-5KATIKA mchezo wa kubashiri matokeo ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar kati ya watani wa jadi, Simba SC na Yanga SC uliyofanyika jana kuanzia saa 2:15 usiku uliisha kwa sare ya bila kufungana na baadaye kupigiana ‘matuta’ yaani penalti  ambapo Simba iliibuka na ushindi kwa kufunga penalti 4-2 na kufanikiwa kuingia fainali.

Mchezo huu umekosa mtabiri sahihi kwa comment zote katika mitandao yetu ya kijamii ya Facebook na Instagram ambapo katika

simba-na-yanga-11

Facebook wamekoment (wamebashiri) watu zaidi ya 500, na upande wa Instagram ni watu zaidi ya 150 ambapo katika idadi hiyo hakuna aliyebashiri matokeo sahihi.

Salum Milongo/GPL

 

Comments are closed.