The House of Favourite Newspapers

Wazee wa Ngwasuma ni Shida Stejini

FM Akademia Wazee wa Ngawasuma makamuziki kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar.
…Mzee wa Gitaa akifanya yake.
Wanenguaji wa FM Academia wakiwa kwenye pozi.

Usiku wakuamkia leo bendi ya FM Akademia Wazee wa Ngawasuma ilifanya makamuziki kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar. Wakati shoo hiyo ikiendelea mwanamuziki wa zamani wa bendi hiyo, Totoo Zebingwa alivamia jukwaa na kutoa bonge la sapoti kwa rap zake matata.

(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)

Comments are closed.