The House of Favourite Newspapers

Waziri Mbarawa awasimamisha kazi watendaji 4

1

vigogo

Waziri wa uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewasimamisha kazi watendaji 4 wa kampuni ya huduma za meli Mwanza kutokana na kufanya kazi kinyume na sheria za utumishi.

Waliosimamishwa ni Kaimu Meneja Mkuu Fabian Mayenga, Mwanasheria Josephat Mshumbusi, Kaimu Meneja Ununuzi Abdallah Rumila pamoja na Meneja Miradi Alex Mchaura.

1 Comment
  1. HARLMALOUSY MAYENGA says

    KAMA NI KAZI SASA IMEKUA KAZI

Leave A Reply