The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Ammjulia hali Mama mzazi wa Halima Mdee jijini Dodoma

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce Chandika na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024.

Leave A Reply