The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Atoa Hotuba Nzito Awapongeza Yanga na Mandonga Akihitimisha Shughuli Za Bunge -Video

0

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa hii leo amewapongeza wanamichezo mbalimbali ambao wamekuwa wakiiwakilisha nchi vyema katika michuano mbalimbali mikubwa na maarufu hapa duniani.

Katika pongezi zake Waziri mkuu pia amewapongeza wanamasumbwi akiwemo Twaha Kiduku, Karim Mandonga na Hassan Mwakinyo kwa kuendelea kufanya vizuri katika mchezo huo, huku akiwapongeza mabondia wanawake ambao wameonyesha mapenzi yao ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mchezo huo.

Waziri Mkuu pia amewapongeza Yanga kwa hatua na uwezo walioonesha katika sekta ya michezo.

Leave A Reply