The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amwakilisha Rais Samia katika Kongamano la pili la wanawake na vijana

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Disemba 06, 2023 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la pili la wanawake na vijana katika biashara ndani ya eneo huru la biashara Africa (AfCFTA), linalofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Leave A Reply