The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awaalika Bungeni Wanafunzi Walioiwakilisha Nchi Uswizi Kuunda Roboti

0

MWALIKO BUNGENI: Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amewaalika  timu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali  Bungeni-Dodoma wanafunzi waliowakilisha Tanzania nchini Uswizi na kushika nafasi ya pili kwenye FIRST GLOBAL ROBOTICS CHALLENGE.

Lengo kuu ni mwaliko huo nikuonesha ubunifu kwa waliofanya kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambapo kupitia shindano la mwaka jana lilibeba maudhui ya kulinda hali ya hewa ya dunia kwa kuunda mashine(roboti) itakayosaidia kupunguza hewa ya ukaa(carbon dioxide)

Wanafunzi hawa walihudhuria mafunzo ya kuunda roboti kuanzia Machi 2022  kupitia Apps and Girls, inayofadhiliwa na Tigo.

Tanzania imeshinda.

@appsandgirls

#letsgrowtogether

#techisfemale

#AxianFoundation

Leave A Reply