The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Majaliwa Awaka Na Madiwani-Video

0

Waziri Mkuu alizungumza na madiwani, watumishi wa umma na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea na kuwasisitiza kila mmoja atambue kwamba yupo wilayani Nachingwea kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, hivyo atimize majukumu yake ipasavyo.

 

Waziri Mkuu amesema jukumu lake ni kuona kila agizo la Rais Mheshimiwa Samia linatekelezwa, ambapo amewataka watumishi hao wa umma wahakikishe uwajibikaji wao unakuwa na matokeo chanya. “Mheshimiwa Rais Samia anataka kuona kazi zenye matokeo, mkuu wa wilaya wachukulie hatua watumishi wote wasiotimiza majukumu yao.”

Leave A Reply