The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Majaliwa Mgeni Rasmi Kurasa 365

0

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo ni kilele cha Maadhimisho ya Kurasa 365 za Mama Vol.3 ikiwa na lengo la kuangazia mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake wa Nchi.

Mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye amepokelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Mkurugenzi wa Clouds Media Group ambao ndiyo waandaaji, Joseph Kusaga na viongozi wengine mbalimbali.

Leave A Reply