The House of Favourite Newspapers

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Michezo Malya, ambapo huo umetekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Na. 9 ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya mwaka 1997.

Comments are closed.