The House of Favourite Newspapers

Arsenal Yatinga Nusu Fainali Europa (Video)

Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa League baada ya kutoka sare ya 2 – 2 dhidi ya CSKA Moscow kwenye dimba la Arena CSKA na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 6-3.

Kwenye mchezo huo uliyokuwa na ushindani mkubwa, CSKA Moscow ilianza kupata mabao yake kupitia kwa wachezaji wake, F Chalov dakika ya 39 na K Nababkin (50) waka upande wa Arsenal, Danny Welbeck aliipatia bao la kwanza (75) kisha Ramsey akatupia lapili daki ya (90+2) na kujihakikishia kusonga mbele.

CSKA (3-5-2): Akinfeev 6; V. Berezutski 6, A Berezutski 6, Ignashevich 6; Nababkin 7, Golovin 7.5, Bistrovic 6.5 (Natcho 71, 6), Dzagoev 5 (Vitinho 37, 6), Kuchaev 7; Chalov 7 (Milanov 78), Musa 6.5.

Subs not used: Pomazun, Schennikov, Zhamaletdinov, Khosnov.

Bookings: Golovin

Scorers: Chalov 39, Nababkin 50

Manager: Goncharenko: 7

ARSENAL (4-3-2-1): Cech 5.5; Bellerin 5.5, Mustafi 6, Koscielny 6, Monreal 5.5; Ramsey 5.5, Elneny 6.5, Wilshere 5.5 (Chambers 69, 6); Welbeck 7, Ozil 6; Lacazette 5.5 (Iwobi 77).

Subs not used: Macey, Mertesacker, Holding, Kolasinac, Nketiah.

Scorers: Welbeck 75, Ramsey 90

Manager: Wenger: 5.5

Referee: Felix Zwayer (GER): 6

 

Comments are closed.